Mpishi wa keki (muokaji) /Baker
Job at Monica Cakes and EventsCompany
Monica Cakes and Events Iliyopo Mbezi Beach , Dar es Salaam inatoa nafasi ya kazi ya Mpishi na Mpambaji wa keki Mbobezi:-
Tangazo:
Kampuni inahitaji mpishi wa keki (muokaji) na mpambaji keki ( awe mtu mmoja na ajue vyote ) , mwenye uzoefu tuu na awe anaishi Dar es salaam Karibu na Ofisi yetu Mbezi Beach Africana
Majukumu ya kazi:
1.Kuoka keki za aina zote
2.Ajue kupamba keki za
kawaida,za kuchonga na za ngazi
3.Awe na uzoefu na upikaji na upambaji wa keki zaidi ya mwaka mmoja
4.Awe mchangamfu anayejali muda
5.Awe msafi kuanzia yeye mwenyewe hadi vifaa anavyotumia kuandaa bidhaa na mazingira ayaweke safi muda wote
6.Afahamu kupika mikate na vinginevyo vinavyookwa na bites mbali mbali
MAOMBI YATUMWE KWENYE EMAIL YA KAMPUNI TU
Email: monicacakesandevents@gmail.com
MSHAHARA:250,000/=
ALLOWANCES:50,000/=
FOOD:LUNCH EVERYDAY
Maombi ni kuanzia leo tarehe 27/10/2023 hadi Tarehe 27/12/2023.
Contact Details:
Monica Cakes and Events
Mbezi Beach Africana,
Dar es Salam-Tanzania.
+255 693 266 327 -Whatsapp tuu
+255744451762- Calls/Whatsapp/Sms
Mpishi wa keki (muokaji) / Baker Job Vacancy at Monica Cakes and Events
Send your Applications to the Email address provided.
For More Information about Monica Cakes & Events Company, Check out their Instagram page at -> monicacakesandevents or Whatsapp number +255693266327
The Deadline For Submitting Applications is 27/11/2023
Copyright © 2023 Monica Cakes & Events